Hapo ushanunua vifurushi cha 500 sms, alafu kumbe simu ya mamake, dadeq. Na ndio ilkuwa hela yako ya mwisho ushaachiwa na buda! 🤣 🤣 🤣
Mambo ya boarding haya, hehe asubuhi na baridi! 🤣
صحيح يا احي.Bila ya shaka,ni Msomali.

Shwari mkuu, umepotea pale jukwaani kwetuNi poa kabisa mkuu, niaje kwako hapo?
Kashika sehemu yenye moto, meanwhile gun haina noto na hakuna analofanyaMi sio engineer lakini huyo hachomelei na ile wire nyembamba, ama ni aje? 😂 😂 😂
Ni terminator pekee ndio anaweza kuishika soldering iron mbele hivyo!
Enzi za Malangali na Magamba boys. Dah! kuoga wikiend hadi wikiend & sometimes unavusha kiroho safi tuu
Oh, duh ata sikuona! 🤣 🤣 🤣Kashika sehemu yenye moto, meanwhile gun haina noto na hakuna analofanya
😂 😂 😂vimeumaa 😂😂😂 nafikilia mtoto atakuwajee 🙆♂️🙆♂️🙆♂️View attachment 1773678