Nilibaki mdomo waziMB 1 itasaidia nini?
Ni kweli kabisa mkuu naelewa, na kwenye vijiwe ni vitu vingi vinaongelewa, vya maana na kupotoshana pia vipo!Siyo ujinga. Ni sehemu ya muhimu ya kutolea stress na kujumuika na washikaji. Kujenga urafiki, kujifunza na mengineyo mengi. Huwezi kuelewa umuhimu wa vijiwe mpaka siku moja ukienda kwenye jamii ambazo hazina social life kama huko kwa wazungu huko. Vijiwe aisee ni muhimu sana tena mno...na ni dhana ile ile. Kuna vijiwe vya kucheza golf. Kucheza draft. Vya kahawa na tangawizi...na hivi vya masela kufungana kamba na kucheka. Vyote vina faida yake!
Ukitaka nikose amani nikiwa kwako basi fuga mbwa. Kipindi nipo dogo nilikimbizwa sana na mbwa mpaka leo sina urafiki nao hawa viumbe[emoji16][emoji16]Sirudi hapo maisha, ijapo napenda sana dogiii
[emoji16][emoji16]Duh, halafu anakulalamikia humfikishi mawenzi!Naunga mkono hoja [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1760961
Kuwaonyesha kwamba nawew umevurugwa, unaanza kula hizo meno[emoji16][emoji16][emoji16]
Kha..[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji23][emoji23]Tigo kama tigoView attachment 1760814
Then fire started on the left engine[emoji24][emoji24][emoji929][emoji929][emoji929]View attachment 1760815
Hatari mzeeNimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kala maharage ya wapi huyu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1760778