Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama kuna sehem tunajazana ujinga basi ni vijiweni
Siyo ujinga. Ni sehemu ya muhimu ya kutolea stress na kujumuika na washikaji. Kujenga urafiki, kujifunza na mengineyo mengi. Huwezi kuelewa umuhimu wa vijiwe mpaka siku moja ukienda kwenye jamii ambazo hazina social life kama huko kwa wazungu huko. Vijiwe aisee ni muhimu sana tena mno...na ni dhana ile ile. Kuna vijiwe vya kucheza golf. Kucheza draft. Vya kahawa na tangawizi...na hivi vya masela kufungana kamba na kucheka. Vyote vina faida yake!
 
Naunga mkono hoja
400094700928_488910.jpg
 
Back
Top Bottom