Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hao ni wenzetu wa ziwani tu, usijiulize sana[emoji16][emoji125][emoji125]
Nimeona yule jamaa alikataa hiyo, akadai eti ni waluhya wa Kenya wakati wana viashiria vyote vya usukumani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshindweee [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…