Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,659
- 23,139
[emoji1787]Wanasayansi na wanahistoria wanaamini kwamba japo picha hiyo kweli ni ya kutoka Pompei, haiwezi kuwa inaonyesha mtu anayeungurumisha punyeto katika dakika zake za mwisho.
Wanasema kwamba maiti nyingi kutoka Pompeii zinaonyesha maumbo na mikao ya ajabu ajabu kutokana na kubanikwa na majivu ya volkeno yaliyokuwa na joto kali sana. Ni athari tu za misuli ya binadamu inavyokunjamana katika joto kali kama lile. Wanasema kuwa isingewezekana mtu kujaribu kupiga punyeto katika mazingira yale kwa sababu kwanza kusingekuwa na hewa ya Oksijeni ya kutosha na hewa yenyewe ingekuwa ya joto mno kuweza kuvutika. Katika sekeseke lile isingewezekana kuwa na nguvu za kuweza kupiga punyeto.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa inaaminika maelezo ya picha hii siyo ya kweli japo yameenea sana mitandaoni.
Asante Baba tunaomba Ndugulile amfuate Makonda benchi.😄😄😄
Mb zilivyokuwa ghali hivi, ukadonload clip ina mb70[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Hatar sana aisee, Jana usiku nilitaka kuingia YouTube kucheki bando nikaghairi aiseeMb zilivyokuwa ghali hivi, ukadonload clip ina mb70[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16]pole sana mkuu, mitandao inayokula data nyingi itabidi tuiache kwanza!Dah Hatar sana aisee, Jana usiku nilitaka kuingia YouTube kucheki bando nikaghairi aisee
Ndio[emoji16][emoji16]pole sana mkuu, mitandao inayokula data nyingi itabidi tuiache kwanza!
Muha wa kigoma
Haaaaa Haaaaa 😂, habari ya mujini ni GB
Bando langu linaisha leo asubuhi, nawaza nijipe mapumziko kwanza haya mabando yanakotupeleka ni kwenye umaskini kweri kweri
Siyo kweli [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Msukuma
Afu umekopa mkopo mmejenga hati ina jina lake fala ww afu unagomban na wengne unawaambia ni mume wake akat uko field
Hata trafiki ya eksi vidiozi na ponihabu itapungua sasa kwa Bongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pole sana mkuu, mitandao inayokula data nyingi itabidi tuiache kwanza!