Uzuri ni dhana tata na changamano sana mpendwa; na wakati mwingine unaweza kufungamanishwa na hadhi ya mtu kijamii na hata kiuchumi. Ndiyo maana tunaambiwa penda ukipendacho. Hujambo lakini?