Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Loh, kumbe kweli, hawa jamaa si wazuri hivyo! 🤔
Two days? Haha ata kinga bado haijafanya kazi mwilini ipasavyo na inaonekana kajichanganya bila kujali, vaccine sio tiba ni kiga tu
Picha tafadhaliKwa nini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena?
Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii kuanzia mwaka 1961 hadi 1975, akiwa ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Emilio Mzena, aliaminiwa sana na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, baada ya idara yake kuzima majaribio kadhaa ya kumpindua. Na hiyo ikapelekea Mwl. Nyerere, kumpa heshima ya kuiita hospitali hiyo kwa jina lake.
#Kama Ulikuwa Hujui Ndiyo Ujue
Picha sina mkuu. Hospitali ya TISS hii mkuu si ajabu hata kupiga picha hairuhusiwi.Picha tafadhali
Hata picha ya huyi bwana Mzena hauna?Picha sina mkuu. Hospitali ya TISS hii mkuu si ajabu hata kupiga picha hairuhusiwi.
Aisee bongo nyoso. Hii picha si nimeona ikizagaa zagaa kwenye msiba huku mitandaoniWajinga ndio waliwaoView attachment 1731524


Nadhani ni kama unavoiona unaionaAisee bongo nyoso. Hii picha si nimeona ikizagaa zagaa kwenye msiba huku mitandaoni![]()

kuna member mmoja ninamheshimu aliipost kumbe naye hana taarifa kamili. Kukurupuka na kutaka kuonekana wa kwanza kutoa habari kumbe picha ya 2011 tena HawaiiWajinga ndio waliwaoView attachment 1731524
Mtagi hapa... Pengine teyari ameshajuakuna member mmoja ninamheshimu aliipost kumbe naye hana taarifa kamili. Kukurupuka na kutaka kuonekana wa kwanza kutoa habari kumbe picha ya 2011 tena Hawaii