Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Bora serikali waendelee kubania packs tu[emoji16]Uzoefu shekhe wangu.
Zile bando za unlimited kuanzia saa sita usiku na zilaaniwe. [emoji53][emoji53][emoji53]
Bora serikali waendelee kubania packs tu[emoji16]Uzoefu shekhe wangu.
Zile bando za unlimited kuanzia saa sita usiku na zilaaniwe. [emoji53][emoji53][emoji53]
Oh! Samahani Binti [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nimejikuta nacheka tena
Why sorry daddy..??u don’t have to...Oh! Samahani Binti [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Watu wanahamu ya kunyea Debe!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 1730157
Kikore la mwaka gani hili
Acha tuu yamenikuta juzi tuu haya
[emoji23][emoji23][emoji23]unakaa kama unataka kuanguka!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tuu yamenikuta juzi tuu haya
Na akifika nyumbani sasa! Atakomaaa🤣🤣 either apewe kipigo au aambiwe rudisha😆[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
New fashion kwa wale wetu voda faster!!