Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,133
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu zetu inabidi tuzikwe nazo kuliko kuachia mke[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu zetu inabidi tuzikwe nazo kuliko kuachia mke[emoji1]
Nasikia leo mmefungwa. Ni kweli?
Hahah watu wameshavurugwa halafu wewe unawatumia msg za ajabu ajabu,wale jamaa waga hawasomi jumbe ila kwa hii lazima iliwachekesha sana.Hii nmekuta kwa james bondView attachment 1727220
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hutaki tujue simu yako.Nje ya mada,wakuu naomba nielekezwe namna ya ku-set off hii kitu,inani-bore kinyama yani.View attachment 1727232
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1727085
Tumfate yule kaka mwenye mapembe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kama unamjua ye yote hapa, una uhakika mbingu utaiona? Rekebisha njia zako leo [emoji38]
View attachment 1727160
Kama unatumia app, nenda kwenye settings halafu click mahali panaposema signature. Ukishafika hapo, turn it off. JF wenyewe wamei-turn off automatically ila kuna wakati huwa inafufuka tu unajikuta mtu unautangazia ulimwengu simu unayotumia hata bila kujua.Nje ya mada,wakuu naomba nielekezwe namna ya ku-set off hii kitu,inani-bore kinyama yani.View attachment 1727232
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Mm legend sijaelewa![]()
Legends only