The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,136
- 8,005
Mmhhh. Kuna story niliwahi kusoma zamani kwenye gazeti. Bi arusi alikufa baada ya kama week baada ya kutolewa izo kucha za kubandika vibaya nafkiri sijui alipata tetanus.
Itabidi tuanze kuombana Hela wenyewe kwa wenyewe sasa. Tatizo lishakuwa kubwaDada Maya anastahili ulinzi wa uhakikaView attachment 1724718