Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haya ni matumizi mabaya ya fedha... Wana UWABATA naomba ridhaa yenu kwenye kikao kijacho niinyooshe taasisi hii.. sio haja ya kulipa rent kwenye jengo kubwa kiasi hiki... Tungeendelea kuweka meza yetu chini ya mti na ofisi za mikoa tutafute vitambulisho vya elfu ishirini tutafute eneo tuweke meza kila wilaya.

Mnipe niinyooshe taasisi hii..kwa miaka mitano.

2713621_FB_IMG_1615586879760.jpg
 
Comments za wananzengo sasa uwiii. Jamaa mmoja kasema eti na sisi Bongo tulirusha sana habari za mauaji yake hivyo lazima tupate mgao. Mwingine kasema anahama na familia yake aende huko majuu akauliwe ili familia yake walipwe fidia [emoji1]

2.5285596347492628E18.jpg
 
Comments za wananzengo sasa uwiii. Jamaa mmoja kasema eti na sisi Bongo tulirusha sana habari za mauaji yake hivyo lazima tupate mgao. Mwingine kasema anahama na familia yake aende huko majuu akauliwe ili familia yake walipwe fidia [emoji1]

View attachment 1724842
Safi sana hii.
[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom