Rafiki acha uchokozi!😂😂😂[emoji196]
Haya ni matumizi mabaya ya fedha... Wana UWABATA naomba ridhaa yenu kwenye kikao kijacho niinyooshe taasisi hii.. sioni haja ya kulipa rent kwenye jengo kubwa kiasi hiki... Tungeendelea kuweka meza yetu chini ya mti na ofisi za mikoa tutafute vitambulisho vya elfu ishirini tutafute eneo tuweke meza kila wilaya.
sisi wengine hatujakiona hicho kituko, imekuweje Moderator ni kila mtu/member?Haya. Kwa heshima yako naifuta japo sikubaliani na sababu zako...
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]View attachment 1724372
Tena ajengewe sanamu la kumbukumbu jijini Chattle...Dada Maya anastahili ulinzi wa uhakikaView attachment 1724718
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji141]View attachment 1724373
Sijui kwa nini sijasikitika wala kujisikia vibaya [emoji1]
Bange hazijawahi acha mtu salama[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1724732
Hakuna cha suit hapo bro, CHURA ndiyo habari ya mjiniSuti kama hii ni pesa ngapiView attachment 1724733
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena ajengewe sanamu la kumbukumbu jijini Chattle...
"Mwana kulitaka, mwana kulipata"Sijui kwa nini sijasikitika wala kujisikia vibaya [emoji1]
This is not enough please remove all teeth [emoji1]View attachment 1724651
Baada ya kugundua kabambikiziwa watoto. Wanaume msipime DNA watoto kiholela kama hamna vifua.
View attachment 1724652
View attachment 1724653
Buza [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]iko wapi hiyo foleni
KENZY hebu kuja huku utuambie hii ni style gani kati ya zile ulizokuwa unazisemea? Dunia duara au maisha ni fumbo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1724730
🤣🤣🤣Nimecheka sana,yaliwahi kunikuta haya nikakimbia sana!😄