Daah, na alijitahidi sana kufunga break( chek mserereko wa Mechanical breaks zake). Asamehewe pia apewe ile mikate na samaki waliobaki kwenye wale watu buku dala.
Hii tabia hii iniepuke kwakweli, kuna kipindi nilikuwa natumia ule muda wa kuswakiπππππππ
Mkono mmoja mdomoni, mmoja unateleza. Sasa wazungu wakiwa wanakuja lazima kasi ya mswaki mdomoni iongezeke! πππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬πππ