Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Simbaaaaaaaaaaaaa.......

Nimejikuta wakati natabasamu macho yametengeneza taswira ya kopa 😍😍😍😍

Aahahahahahaaa nnavopenda safari mie, ukisema tuu unakuja kunichukua na gari halafu unaendesha hadi Misungwi kwa mama mkwe, naanzaje kuchomoka hapo sasa....😅

Yaani ndo ushanitega tayari, looh

Kasinde mie kwisha habari yangu 🤩🤩😉.
Wanaume hoyee,Mungu aendelee kutubariki kwa kwelu,ukute ndo umejaliwaa kupangilia nondo dah yani hata wale watoto Wa Yoweri kaguta museveni hawachomoi.
 
IMG-20210306-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom