Plan B ni ipi Kasie Matata?Nguvu za kikee...[emoji2955][emoji2955][emoji39]
Acha nikazane na plan B.
Mambo yako haya[emoji2957][emoji39][emoji39][emoji39]Sura hata mbuzi anayo jamani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1718912
Yaani Yanga utadhani walizaliwa mwezi mmoja.....kuwa wakati wachezaji 18 birthday yao ilikuwa siku moja na ya Nugaz,Hersi na yule katibu mwenye mandevu. Kesho yake ikawa ya Saidoo na Sarpong[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bado wa Yanga.
Sema mambo yetu haya...Mambo yako haya[emoji2957][emoji39][emoji39][emoji39]