Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1614794074439.png
 
Oh Mia Khalifa. Mlebanon mashuhuri kuliko Walebanon wote. Nilimwona BBC akijifaragua eti anajuta sana kuingia kwenye lile gemu la mabaharia na familia yake imemtenga na mahafidhina wa ile dini yetu pendwa wameapa akikanyaga tu Lebanon wanakula naye sahani moja kwa kuwadhalilisha. The only positive side ni kwamba mpaka sasa she is worthy about $15 million. What an inspiration [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kipindi kile amealikwa na yule mfalme kule sijui uarabuni, ilikuwa deal gan?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kipindi kile amealikwa na yule mfalme kule sijui uarabuni, ilikuwa deal gan?!
Kameweza kupiga hela sana ila sema tu kazi yenyewe ya laana na wanaoifanya wengi wao huishia kujiua na kasheshe zingine. Sasa wateja na mashabiki sijui tunabaki na hali gani. May God help us [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom