Oh Mia Khalifa. Mlebanon mashuhuri kuliko Walebanon wote. Nilimwona BBC akijifaragua eti anajuta sana kuingia kwenye lile gemu la mabaharia na familia yake imemtenga na mahafidhina wa ile dini yetu pendwa wameapa akikanyaga tu Lebanon wanakula naye sahani moja kwa kuwadhalilisha. The only positive side ni kwamba mpaka sasa she is worthy about $3 million. What an inspiration


