Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,090
- 12,815
Mzee wangu alifuma mahali nilipoficha lizla (tumisokoto twa kufungua bangi) nilitamani kupoteaMi ilibakia kidogo nipate hizo alama 5 lakini nikakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikitumwa madukani kununua sigara wakija kuvuta wakibakiza nami naiba nakwenda kumalizia vile vipisi. Nakohoa weee lakini nimo tu mpaka siku moja nikafumwa na anko nikapewa kichapo cha uhakika na sikurudia tena mpaka leo. Thanks anko japo kile kichapo duh [emoji16][emoji16][emoji16]
na hapo kuna kenge mmoja atalianzisha,ole wake demu ajifanye haelewi,wote wataliunga[emoji23][emoji23]View attachment 1713386
Mbegu za kiume/dagaaIf u know u know.View attachment 1713441
[emoji16][emoji16]hatopita hiyo njia tena!na hapo kuna kenge mmoja atalianzisha,ole wake demu ajifanye haelewi,wote wataliunga
alafu wanawake wanatushangaa kwa nini baada ya goli tunachoka..
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tax bubu ya ubungoView attachment 1713882
[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1713981