[emoji23][emoji23][emoji23]Uwongo. Kama hujaamua kutulia hata ukimpata unamuona wa kawaida tu [emoji16][emoji16]
View attachment 1707869
Nshaikosa kitambo kamanda jamaa yuko vzuri kwa kila kaziMbingu utaisikia kwenye tivii tu kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Home... Dada yupo Away... Maana geto la mdada mlangoni kungekuwa na viatu kama hamsini