Nakwambia we acha. Tuombe rehema tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Mbinguni empty seats zitakuwa nyingi sana[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao jamaa walioshout wataniharibia sana!Nakwambia we acha. Tuombe rehema tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1698711
Haaaaa Haaaaa 😂 noma sanaHome after school routine [emoji2][emoji2]View attachment 1698310
[emoji81][emoji81] mkuu sahau kuhusu kuiona pepoMy man Bryon Long. Kazeekea kwenye gemu jamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mdada aliniambia vikija Bongo hivi vidude nimshtue anavihitaji maana kachoka kupata UTI kwenye mavyoo ya Kushea ofisini huko
Yote hii ni kutafuta nini sasa ?View attachment 1698849Tatizo mashine haoshi kabisa, ni mnuko wa ajabukuanzia pichu mpaka jeans
Tutaelewana tu
Kaka hii naichukua niipeleke pahalaView attachment 1698857
inaweza kukuta wenzangu wengine hata kuukwea mpera hawawezi, km hujawahi kudondoka basi hata kupanda meza huwezi