Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,145
Samahani naomba kufahamu jina la iyo movieila movie wanazingua sana
eti hako kajamaa kanazitia hofu njemba za maana
yaani kama ni mimi nakapiga "Ngeta" ya mbao
katatapika nyama zote kalizokula
Wrong Turn 2.Samahani naomba kufahamu jina la iyo movie