CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Yanga Oyee!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tunayanywa bwana......hiyo ilikuwa waalimu wa zamani.
Wanawaonea kumbe[emoji38][emoji38]Tunayanywa bwana......hiyo ilikuwa waalimu wa zamani.
Wanatuonea sana. Siku hizi na nguo tunanunua......ile ya shati moja siku 3 imeisha.Wanawaonea kumbe[emoji38][emoji38]
Vizuri sana....Wanatuonea sana. Siku hizi na nguo tunanunua......ile ya shati moja siku 3 imeisha.
Magufuli mitano tena kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri sana....
Mitamo ten[emoji870]
Hawa jama walotajwa hapo itakuwa ni wale wakiacha pombe tu wanakufa. Inabidi waangalie upya huo uamuzi wa kuwazuia kuuziwa pombe. Vinginevyo wataweka turubali nje muda si mrefu!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa jama walotajwa hapo itakuwa ni wale wakiacha pombe tu wanakufa. Inabidi waangalie upya huo uamuzi wa kuwazuia kuuziwa pombe. Vinginevyo wataweka turubali nje muda si mrefu!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga Oyee!!View attachment 1689914
Huyo dada ameshindwa kuelewa nn sasa? Carina TI halafu mke wake atakuwa nani sasa kama sio bodaboda😂
Hapana,Sasa watu watakua wanapataje updates kuhusu huo ugonjwa??Hapana. Kupunguza kuenea kwa habari za uwongo [emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol