Mwaka na nusu wa kujifunza,uwepo wa YouTube,majirani wa kumuazima viungo + masaa mawili jikoni
making the husband's favourite dish......
🙄🙄🙄🙄Ndo muache hiyo tabia ssa
Tabia mbaya hiyoNilisikia people wanaongea
Mwaka na nusu wa kujifunza,uwepo wa YouTube,majirani wa kumuazima viungo + masaa mawili jikonimaking the husband's favourite dish......
Hakika jamaa kamuonea huruma Sana
AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU



