Pale mwalimu anakupa alama 7/50 passage utunge kuhusu mbwa wako,then unaamua kumbeba ili ujue kati yake na wewe nani anamjua vizur uyo mbwa
FB_IMG_16116022085766851.jpg
 
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.
"Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja." Waziri Doroth Gwajima.
.
SHARE
Wanaume wa Kipare washazoea vibamia vyao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom