Kuna watu watatamani kuwa machizi

Kuna watu hata JF wanadhani ni kitamburisho cha NIDA huu ni mwaka wa 10 humu hamjabadirisha AVATAR zenu
especially Mshana Jr vua hayo mawani tumeyachoka
Same nitamuambia COWBOY aache selfie na iphone 3s hilo la kizamani
View attachment 1678775













Binadamu huwa tunatofautiana Sana hapo kuna wamba wawili wana stress kichizi alafu kuna raia hawana hata hofuPale unaenda kunyongwa alafu unaomba maji ya kunywaView attachment 1678205
Dah umejuaje mie model
