Kumegewa kuko pale pale hata ufanyeje Kasie Matata. Na kunauma sana hasa kama wewe mmegewaji umejitoa kabisa kabisa humegi nje. Mimi naamini kumegewa hakuepukiki. Unabisha?
Ngoja kwanza SYB twende taratibu aahahahahaa Kasie nnapenda mijadala ....
Okay, ukisema kumegewa hakuepukiki unamaanisha kwq pande zote mbili?
1. Yaani mwanamke anakuwa anamegwa nje pamoja na kuwa mwanaume anajitoa , anajituma na hamegi nje.
2. Mwanaume anamega nje pamoja na kuwa mwanamke anajituma kila idara na yeye hamegwi nje...!??
Kama kumegewa hakuepukiki kwa pande zote mbili nakubaliana na wewe ila kutokana na tabia ya mtu.
Acha nijisemee binafsi, mimi hapa na mkuyenge(.......) wangu, hata kama yeye anamega nje tukielewana vizuri na hanikeri, walaah hata akikaa miezi sita akirudi yeye ndo atakuwa anatoa buibui na kupaki benzi yake tulii kama alivyoakuacha mara ya mwisho. Uwezo huo nnao, ni akili yangu tuu naiambia hii thambutha ni ya mkuyenge (.....) wangu tuu.
Na hapo waweza nikuta nikawa natoka na wanaume kadhaa for drinks, music, normal aoutings ila wataishia kupata hug tuu and chic kiss.
Hii itafanya kazi iwapo mkuyenge (.......) wangu tunaelewana. Kama ananizingua na kunionesha waziwazi mauzauza yake....
Akili yangu itanituma kufanya nini hapo sijajua ila tuu huwa sinaga roho ya kulipiza kisasi hata mtu anikere viipii.
Karibu stafutahi SYB, kuna korosho, shurbati ya nanasi na nanasi lenyewe 😋 bila kusahau kiporo cha dona na mchicha na pilau kuku kienyeji😋.
Sahani yangu ina korosho tuu na kilauri imejaa shurbati ya nanasi. Mengine baadae 🥂.