Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aahahahahaha wanaume mpunguze wivu hata matunda na mbogamboga, basi muwe mnatengeneza fruit and vegetable salad ili kuondoa hofu ya kumegewa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumegewa kuko pale pale hata ufanyeje Kasie Matata. Na kunauma sana hasa kama wewe mmegewaji umejitoa kabisa kabisa humegi nje. Mimi naamini kumegewa hakuepukiki. Unabisha?
 
IMG-20201128-WA0044.jpg
 
Back
Top Bottom