Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sijaelewa
Hilo Daraja au Flyover Mkuu inapita juu ya barabara upande wa kushoto na inakuja kutua kwenye barabara nyingine upande wa kulia.

Hapo alipoonesha kuunganisha haiwezekani maana mwinuko (slope/gradient) itakuwa kubwa na hatari kwa magari. Huo mzunguko wote umeletwa ili kusaidia kupunguza mwinuko kwa namna rafiki kwa watumiaji.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
IMG_1980.jpg
 
Back
Top Bottom