[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbona tunaanza kusemana hapa threadini jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ukikua jina unaweza kubadilisha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo ndio nimejua ukweli wa hiyo picha. Nilikuwa nahiuliza sana, aliyemuandalia mzee huo msosi aliwaza nini tena hadharani