Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Dooh,apige na Yoga sasaMeditation -- tahajudi
View attachment 1616451

Shukrani sana kiongoziView attachment 1616629
Hawa jamaa itakuwa ni mapacha! Maana sio kwa uchafuzi wao wa likes, sio wachoyo wa likes kabisa
mkwepu jr
Mgonga Like
Much respect kwenu!
![]()
Shukrani sana kiongozi
hapa ujue kuna fume inatoka maana pua kaweka juu, km ngur imechomwa
Hiyo screen shot yangu, hakuna VPN inayotumika hapo. Na network ipo vizuri tu!View attachment 1617227
hivi ninyi wakuu mliipata VPN mapema au mnatumia mtandao gani mpaka hawa mabingwa hawajawafungia km sisi siku ya 7 leo tangu trhe 26 Oktober