konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,622
- 41,331
Si ungeibadilisha basi kama uliona hivyo? Hata na wewe ulikuwa aina fulani hivi ya kadikteta uchwara usifikiri wahenga tuliokuwepo kuwa tumesahau enzi zako za zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti. Ulikuwa unaogopwa sana na hakuna aliyeweza kukukosoa kwa lolote. Alijaribu Sokoinne; alifika wapi?

hakuna jipya , au sio?Unafiki tu. Ukiona nukuu zake zimeshiba sana wakati matendo yake mwenyewe yalikuwa kinyume. Katiba hiyo anayoilalamikia yeye mwenyewe, kwa kiasi kikubwa, ndiye mtunzi. Kama aliona kweli ilimpa madaraka makubwa sana mbona asingeibadilisha tu na kujipunguzia? Tena wakati ule alikuwa peke yake hakuna cha vyama vingi wala nini; na neno lake ndo lilikuwa la mwisho.hakuna jipya , au sio?
Unafiki tu. Ukiona nukuu zake zimeshiba sana wakati matendo yake mwenyewe yalikuwa kinyume. Katiba hiyo anayoilalamikia yeye mwenyewe, kwa kiasi kikubwa, ndiye mtunzi. Kama aliona kweli ilimpa madaraka makubwa sana mbona asingeibadilisha tu na kujipunguzia? Tena wakati ule alikuwa peke yake hakuna cha vyama vingi wala nini; na neno lake ndo lilikuwa la mwisho.

Ulikuwepo lakini kamanda au ulisimuliwa? Mi nilikuwepo aisee![]()