Ila hapo wamemuonea tu Waziri Kigangwala, hakuna kosa la kiuandishi wala kisarufi, hata kama angekuwa mtoto wa kiume ingekuwa " A son is always a blessing to his father" kwasababu:
Daughter ni her
Son ni his
His na her ni Pronoun (Possessive pronoun)