Siyo kweli. Nimesoma katika kengele hiyo na my English are correct and is able to teach each other [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kizungu kimenishinda tabia nataka nijifunze kisukuma hivi siwezi pata chapisho la kisukuma kwenda kiswahili ?Siyo kweli. Nimesoma katika kengele hiyo na my English are correct and is able to teach each other [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hasa mbwa wa majirani, kwa usalama wako inakubdi ubebe jiwe ama fimbo. Sasa unajiuliza hii ni jogging au vita!!!![emoji3][emoji3]View attachment 1609598
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hasa mbwa wa majirani, kwa usalama wako inakubdi ubebe jiwe ama fimbo. Sasa unajiuliza hii ni jogging au vita!!!!
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
Hou taled you?[emoji2][emoji2]Siyo kweli. Nimesoma katika kengele hiyo na my English are correct and is able to teach each other [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Jiwe siyo suluhisho kwa sababu ukimkosa tu unalo. Fimbo, tena ya kueleweka labda. Nimefukuzwa na limbwa majuzi hapa eti nafanya jogging. Nisingechangamka lingeniuma. Hovyo kabisa yaani [emoji16]Hasa mbwa wa majirani, kwa usalama wako inakubdi ubebe jiwe ama fimbo. Sasa unajiuliza hii ni jogging au vita!!!!
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
Hivi huyu mzee wa we ulisikia wapi ni nani? Kuna mwenye info zake anijuze?
Mkuu anapatikana gereza gan [emoji119][emoji119][emoji119]Afande maregezaView attachment 1609640
Afande maregezaView attachment 1609640