Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20201020-WA0226.jpg
 
Hadi nimeshangaa, mbali na kusoma kote kiarabu, sijawahi kujua kuwa kuna kitu kinaitwa "Shams al kubul!"
Shams = jua
Sasa hii al kubul ndio nimeshindwa kuijua!!
Rashid kanishinda tabia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Chidi boy anazingua sana.

Shamsi ni Jua
Kubul (kukubaliwa)

Ukiziunga hizi sentensi hazileti maana yoyote kisarufi

Shamsi al qubul (Jua lililokubaliwa)
Haileti maana kisarufi.
 
Back
Top Bottom