Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni kweli ananyonya lakini haikuwa kunyonya for fun!

Huyo baba alihukumiwa kifo na kwa mujibu wa sheria za nchi ile ukihukumiwa kifo unafungwa gerezani hupewi chakula mpaka unakufa kwa njaa

Sasa huyo binti yake wakati baba anahukumiwa alikuwa ana mtoto mchanga anayenyonya ndio akawa akienda gerezani kumuona baba yake anampa ziwa anyonye ili asife bila askari kujua

Baadae askari walijiuliza sana mbona huyo bwana hafi na imekuwa muda mrefu ikabidi wafuatilie ndio ikagundulika kumbe binti yake huwa anamyonyesha maziwa.

Je alichofanya ni ujinga?you can judge.
Wewe ungeacha baba yako afe?
Sasa angenyonya mpaka lini?, pamoja na hivyo hayo maziwa ya huyo binti yake hawez shiba, lazima angekufa tu
 
Sasa angenyonya mpaka lini?, pamoja na hivyo hayo maziwa ya huyo binti yake hawez shiba, lazima angekufa tu
Kwamba angenyonya mpaka lini sijui,ila ninachojua,kama leo hii mtu akipewa uwezo wa kuongeza hata dk 10 za mpendwa wake asiondoke duniani angefanya hivyo bila kujiuliza.

Ndicho alichofanya huyuo binti.
 
Kwakweli
Facebook%20media%20-%20200579991426219%20(%20Full%20Resolution%20).jpg
 
Back
Top Bottom