Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Leo alikuja mbeya,ameogopa kufanyia kampeni uwanjani maana jana Iringa alijikuta Yuko mwenyewe uwanjani.
Kumbe anagombea mwenyewe hicho kiti??
Huyu mzee kwanini anahangaika kujidharirisha kwenye siasa wakati angefanya kazi nyingi tu za maana!
Nawaza, huyu ni binti au beat. 32 yrs lakini kawa bibi
Ndipo Seif Hamad akawaambia wafuasi wake!Vituko mtandaoni!View attachment 1602124