Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ingekuwa kimtaa mtaa hiyo kauli ya kutolewa ng'ombe ingeleta ngumi za kufa mtuDkt. Magufuli (Kinyerezi, Dar): Nimemteua Zungu kuwa Waziri wa Mazingira wa Tanzania nzima, halafu ninyi mnataka mumtoe..
> Au kwasababu ni mweupe mno, kwa bahati mbaya ni Mwanaume, angekuwa Mwanamke angetolewa ng’ombe wengi sana kule Mwanza
Ndo yaliyo akilini mwake na moyoni mwake lazima ayaseme tuAmerudia Tena hizo kauli!
Wewe Rukia ni Shabiby au ni Kimbinyiko? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji38][emoji38]View attachment 1599064
Kwan huyo ma###ko yapo mbele au mie ndio nimekua kipofu?"Nimeshafika hapa maeneo ya mtaani kwenu,nimevaa kitop cha kijivu na jinsi"View attachment 1597116
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wap hyo mkuuMahari ya mtu inabebwa na majiView attachment 1599125