Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,102
Mwanza hoye
Niliwahi meza mbegu ya ubuyu nikawaambia ndugu zangu wakaniambia utakoma! utaota tumboni alafu nitakufa nililia Sana
Dkt. Magufuli (Kinyerezi, Dar): Nimemteua Zungu kuwa Waziri wa Mazingira wa Tanzania nzima, halafu ninyi mnataka mumtoe..
> Au kwasababu ni mweupe mno, kwa bahati mbaya ni Mwanaume, angekuwa Mwanamke angetolewa ng’ombe wengi sana kule Mwanza

HahahaNiliwahi meza mbegu ya ubuyu nikawaambia ndugu zangu wakaniambia utakoma! utaota tumboni alafu nitakufa nililia Sana
Utoto
Hahahahahaha..........
Amerudia Tena hizo kauli!Dkt. Magufuli (Kinyerezi, Dar): Nimemteua Zungu kuwa Waziri wa Mazingira wa Tanzania nzima, halafu ninyi mnataka mumtoe..
> Au kwasababu ni mweupe mno, kwa bahati mbaya ni Mwanaume, angekuwa Mwanamke angetolewa ng’ombe wengi sana kule Mwanza
Wasukuma bana [emoji16][emoji16][emoji16]Mwanza hoyeView attachment 1598381