Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,198
- 20,502
Kiukweli dereva hapo hafikishi gari inapokwenda wala, bibie anavumilia tu basi lakini hapo hamna kitu.hivi sasa ni couple inayo make headlines , fikilia driver ana drive vp hicho chombo?
Jamaa ana pesa sio?