Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,438
- 857,729
- Thread starter
- #25,421
Tutazika na kusafirisha[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1579948
Tutazika na kusafirisha[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1579948
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani binadamu[emoji1787]View attachment 1579949
So sad kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Can't wait[emoji847][emoji1787]kwenda kwa akina ng'ombe[emoji1787]View attachment 1579950
Dah.[emoji25][emoji25][emoji25]Dah[emoji23][emoji23]View attachment 1579951
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki ya Nani[emoji1787]View attachment 1579952
DuuJamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ni mgombea ubunge akiomba kula mtaa kwa mtaa hapo anamsaidia dada huyo kumsugua kuchaView attachment 1580707View attachment 1580709
lakini Kama vipande viko chini ya vitano basi chukua kimoja kimoja na kung'ata robo afu kirudishe chukua kingine fanya hivyo hivyo kwa minofu yote(unang'ata kidogo unaacha kidogo)..[emoji30][emoji30][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JINSI YA KUIBA NYAMA KWENYE HOT POT
01.Ingia jikoni,angalia kushoto na kulia Kama Kuna mtu anakuja
02.Angalia mkao wa kijiko kimekaaje ili mda wakuondoka ukiache vile vile kilivyokaa usikigeuze,usifanye kosa[emoji23]
03. Fungua hot pot pole pole ,usiache mfuniko upige kelele au uanguke(utashtukiwa)
04.Hesabu vipande vya nyama hakikisha vipo kuanzia vitano na kuendelea maana kama vipo chini ya vitano ni rahisi mama kujua vipande vilivyopungua.Sasa ni mda wa kuchukua mnofu anza kuutafuna[emoji108]..lakini Kama vipande viko chini ya vitano basi chukua kimoja kimoja na kung'ata robo afu kirudishe chukua kingine fanya hivyo hivyo kwa minofu yote(unang'ata kidogo unaacha kidogo)..
05.wakati unakula ,simamisha masikio yako vzr kusikia Kama Kuna mtu anakuja(atakufuma),usiruhusu mchuzi ukudondokee kwenye nguo au kudondoka chini,na Kama chuzi utakudondokea wahi haraka fua nguo..na ondoa ushahidi wowote jikoni
06.Baada ya kula nawa mikono kwa sabuni na uinuse mara 6 Kama unahisi harufu Bado ipo nawa tena na tena..
07.Weka viganja kwa kuziba mdomo afu pumua kusikia Kama harufu ya nyama inatoka kinywani[emoji119]
Usiwe na wasi wasi kuhusu Hilo,chukua tangawizi au au limao tafuna kuondoa harufu
08.sasa toka jikoni Kama mtakatifu,maana uko salama
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Kesho ntafundisha jinsi ya kumuiba mke wa mtu. [emoji19][emoji57]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] chaaaTafuteni hela Jamani wanaume[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]View attachment 1579946
[emoji16][emoji16][emoji16] poa tu hata mkiniita bibi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ejoooView attachment 1580006
Khaaa wabongo [emoji134][emoji134][emoji134]Jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ni mgombea ubunge akiomba kula mtaa kwa mtaa hapo anamsaidia dada huyo kumsugua kuchaView attachment 1580707View attachment 1580709
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]lakini Kama vipande viko chini ya vitano basi chukua kimoja kimoja na kung'ata robo afu kirudishe chukua kingine fanya hivyo hivyo kwa minofu yote(unang'ata kidogo unaacha kidogo)..[emoji30][emoji30][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada yangu alisema sawa tu niiteni shangazi[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] poa tu hata mkiniita bibi
So sad. Imenikumbusha mbali sana. .._Nchini Africa kusini mtoto wa miaka 11 ajiua kama zawadi ya sikuya kuzaliwa kwa mama yake huku akimwachia barua iliyoandikwa leo ni siku yako muhimu mama nataka uwe na furaha milele, kila siku ulikuwa ukinambia furaha yako ilitoweka tangu siku uliponizaa mimi, ukanambia baba yangu piah alikuacha kwa sababu yangu mimi. Kwahiyo leo nimeamua kubadilisha hayo yote nataka uwe na furaha na uishi kama sikuwahi kuzaliwa. Ulinambia hukuwahi kunipenda tangu unizae lakini mimi nilikupenda na kukuona kama mama bora kwangu duniani. natumai siku moja utanikumbuka na utanifikiria, natumai mbinguni utanishika, utanikumbatia na kunibusu. Zawadi bora ambayo napaswa kukupatia ni kuondoka maishani mwako kama ulivyotamani usingenizaa. Nakupenda saaana mama. Heri ya siku yako ya kuzaliwa._ *Tafadhali akina mama muangalie saaana maneno ya kuwaambia watoto wenu.* ```Maneno yanaumiza saaaaana```[emoji17]