lito bebe
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 277
- 358
Comment ya kwanza na ya mwisho....zimeua
Comment ya kwanza na ya mwisho....zimeua
Huyu mtoto akikua akaiona hii picha, atawachukia wale wote waliopost hiki kitu.
Zote kali......View attachment 929295View attachment 929299View attachment 929301
Sent from my SM-N9006 using JamiiForums mobile app
sjaielewa hii mkuu
Nimetoka kapa nilichoambulia labda ni Rosemary leaves if they are the one. Cake ya yogurt au???
Duh ubwabwa kwa viazi nini? Watu wapo creative ila mimi siwezi vutiwa labda ninuse.dada ubwabwa huo
Nimetoka kapa nilichoambulia labda ni Rosemary leaves if they are the one. Cake ya yogurt au???