MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,962
- 151,252
Shemeji yenu sio mkorofi, changamoto tu ndogondogo. Unakuta umerudi nyumbani na mambo yako ye anataka muanze kuongea mambo yake wakati unataka utulivu๐๐Wifi mkorofi?
๐๐๐๐, lazima umsapoti,Shemeji yenu sio mkorofi, changamoto tu ndogondogo. Unakuta umerudi nyumbani na mambo yako ye anataka muanze kuongea mambo yake wakati unataka utulivu๐๐
Ukisema umechoka utaambiwa wangekuwa wanawake wako wa barabarani usingechoka. Hapo ukijichanganya tu mnalala mzungu wa nne๐๐๐๐๐๐, lazima umsapoti,
Aisee,wanaume mateso๐,,,hapo hajanuna bila sababu na uanze kumbembeleza๐๐Ukisema umechoka utaambiwa wangekuwa wanawake wako wa barabarani usingechoka. Hapo ukijichanganya tu mnalala mzungu wa nne๐๐