Kupima sio mchezo, kipindi napambana na ajira za majeshi, nikasema subir leo nipime kabisa isije ikawa kumbe nishaungua ndio maana kila siku nakosa nafasi. Nikafata test kits kwa rafiki yangu saa 6 usiku maana kesho yake ilibidi nisafiri. Nilivyorudi sasa ndio nipime kumbe kuna kunakujitoboa utoe damu😆😆. Zoezi likaishia hapohapo nikasema potelea mbalii