MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,773
- 150,517
Wewe😁,Mtu unamwambia inabidi uondoke leo urudi nyumbani kesho naingia job asubuhi, anajifanya hana haraka😆😆
Haaa haaa ,Mimi ndo huyo Jamaa Maisha haya 😏
😁😁nimekumiss pia. Uzi wetu umepoa saii
Aisee usiwe unapotea sana bana , mi nilijua umefariko😁😁nimekumiss pia. Uzi wetu umepoa saii
Bado niko mzima, hizi updates za JamiiForums zinapoteza ladha kabisa ya JF najikuta naiweka pembeni😁Aisee usiwe unapotea sana bana , mi nilikuwa umefariko
Yaani,wadau mpo bize sana,msiususe hivyo jamani.😁😁nimekumiss pia. Uzi wetu umepoa saii
Maisha yanatubana, wengine tumekuwa na majukumu saiv kumbe kuwa baba sio mchezo😆Yaani,wadau mpo bize sana,msiususe hivyo jamani.
Hongera sana Kwa kuwa baba,,hapo Bado Sasa😁,,Maisha yanatubana, wengine tumekuwa na majukumu saiv kumbe kuwa baba sio mchezo😆
kabisa yani, ila sasa utakimbia kimbia mpaka lini😁😁Hongera sana Kwa kuwa baba,,hapo Bado Sasa😁,,
Kulea KAZI,kulisha/kutunza family ni KAZI hasa Kwa mwanaume.pambana .