Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 320
- 587
Mshana Jr in action.Hii ndio raha ya kuwa na shemeji mjini![]()
-Ndumilakuwili-
Mshana Jr in action.Hii ndio raha ya kuwa na shemeji mjini![]()
-Ndumilakuwili-
Mie sio kibonge😀😀😀Unafanya mazoezi lakini🤣
Huo ndiyo ukwei
Kama leo haufanyi mazoezi jiandae na jimwili siku zijazo.Mie sio kibonge😀😀😀
Natembea Kila siku,asubuhi na jioni,,,huku vilima napanda na kushuka.Kama leo haufanyi mazoezi jiandae na jimwili siku zijazo.
Ukipata mtoto wako wa kwanza na mwili unafutuka.
Piga mazoezi angalau kutembea tu mjini.
Omba uhai, siku hiyo itafika tu
Jitahidi uwe unatoka Mbinga mpaka Mbamba bay kwa mguu🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Natembea Kila siku,asubuhi na jioni,,,huku vilima napanda na kushuka.
Utakuta mlango uko hivyo lakini ukuta wenyewe ukipiga ngumi tu umeingia ndani😇
Hahahahahah,hunipendi🙌Jitahidi uwe unatoka Mbinga mpaka Mbamba bay kwa mguu🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️