Kazuhura huwa ni karembo sana.
Unamkubali?Kazuhura huwa ni karembo sana.
Ndio aisee😅Unamkubali?
leo kipindi nasafisha ndani, nikafungue kitanda kusafisha pia ila bahati mbaya baadhi ya srew zimepotea na godoro likamwagikiwa na maji ya deki, subiri kesho nikipeleka kwa fundi utakuja
Ushamkosa.Ndio aisee😅
Nakuja na kitanda changu🏃🏿♀️leo kipindi nasafisha ndani, nikafungue kitanda kusafisha pia ila bahati mbaya baadhi ya srew zimepotea na godoro likamwagikiwa na maji ya deki, subiri kesho nikipeleka kwa fundi utakuja
Nimeumia na mkono nimechomwa na msumari hivyo itakuwa kazi kufunga kitanda alafu sitaki nikuchusheNakuja na kitanda changu🏃🏿♀️
Nakuja kukuona ulivyoumia,Nimeumia na mkono nimechomwa na msumari hivyo itakuwa kazi kufunga kitanda alafu sitaki nikuchushe
Yupogo kijiji huko analima magimbi
Siyo bure.Noma sana.View attachment 3624413