Tunadanganywa sana na hawa watu 🙄😷😷
Na hapa vipi ni kweli au
Nimkute mtu au huyu yau napiga sana 🤣
Yaani sura zao Zina protectTunadanganywa sana na hawa watu 🙄😷😷
Kuwa mwafrica lazima uwe mweusi? Na kuwa European lazima uwe mweupe?
Watembelea V8 bhana
Watu wanapiga kwanza ubweche aisee
Let bro eat too😍
Hilo linaitwa dungu..umenikumbusha niliishi hicho kijiji ni kilomita saba mpaka geti la hifadhi mtemere
Yes, kutoka Mloka mpaka Mtemere Lango la Selous ni kilomita chache tu.Hilo linaitwa dungu..umenikumbusha niliishi hicho kijiji ni kilomita saba mpaka geti la hifadhi mtemere