Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 26,757
- 139,832
Tusiojua kupika tusiitake ndoa?Utakuta mdada hajui kukanda ngano na kisha kupika chapati ati naye anataka ndoašš
Tusiojua kupika tusiitake ndoa?Utakuta mdada hajui kukanda ngano na kisha kupika chapati ati naye anataka ndoašš
Na waliandaana kwa ustadi mkubwa, nachoka mie sasa.



Owaa weeššView attachment 3588618oya Selikavu Intelligent businessman Razorblade
Mdada mmoja akisema hv kule chitchatššš¾
Nimekumbuka, nilihusishwa na hata kisicho kuwepo?



Ila wee Mchokozii sanaa?View attachment 3588618oya Selikavu Intelligent businessman Razorblade
Mdada mmoja akisema hv kule chitchat![]()



Rudisha majeshišNakerekwa mie,![]()
šššš,hii ata jf ipo.,huku pm kumbe umepewa mabwana wotešNimekumbuka, nilihusishwa na hata kisicho kuwepo?![]()