Nikiona mdada katoboa pua, kavaa kile sijui ndio kijora najua kabisa hapa oya oya [emoji16]Aisee ni kweli usemavyo,kama kutoboa pua tu[emoji119]
Urembo mwingine ukupite tu maana tayar ushabeba picha mbaya kwa jamiiSasa ukamwambiaje? Kiukweli mi sivipendi hata kidogo hivo vitu..
Hata Jana Kuna jirani yangu Mmoja tunalingana nae nikamwambia kwanini anavaa huo uchafu haoni aibu au anajua maana yake? Akasema anapenda eti ni urembo [emoji20]
Halafu kavaa viatu vya manyoya,siku hizi wanavalia mayeboyeboyebo makubwa,au misuruali mipana,hovyo kabisa🙌Nikiona mdada katoboa pua, kavaa kile sijui ndio kijora najua kabisa hapa oya oya [emoji16]
Kweli Kabisa Aisee. Dah Yan siku hizi kazi kweli kweli ulimwenguni huku
Dah acha kabisa Mkuu, Yan napenda natural Hadi nachanganyikiwa. Hasa nikikuta mwanamke yuko natural halafu black Yan ananichnganya Hadi mieUrembo mwingine ukupite tu maana tayar ushabeba picha mbaya kwa jamii
Duh noma Sana
Dah ni huzuni