Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20251212_195326_Quora.jpg
 
Kusema ukweli siku ya kwanza kumuona sista angu kavaa hivyo vidude nilikwazika sana.
Sasa ukamwambiaje? Kiukweli mi sivipendi hata kidogo hivo vitu..

Hata Jana Kuna jirani yangu Mmoja tunalingana nae nikamwambia kwanini anavaa huo uchafu haoni aibu au anajua maana yake? Akasema anapenda eti ni urembo 😞
 
Back
Top Bottom